Saturday 24 May 2014

Watoto WetuLeo Katuni/Vibonzo[Cartoon];Bino and Fino: A Positive Educational African Cartoon - Mama's soup...,Burudani-let it go lyrics demi lovato

Wazazi/Walezi na Watoto wangu wapendwa Natumai wote wazima...
Watoto wa hapa UK,Mpo mapumziko/Likizo[Half term Holiday] Natumaini mtaitumia Vyema.....
Mnaofanya Mitihani tunawatakia kila la kheri.


Basi leo tuangalie Katuni/Vibonzo hivi kutoka..Bino and Fino...Kuna mengi ya kujifunza..

Twende pamoja.....


Shukrani/Thanks;BinoandFino

Burudani.....


Ni Mimi Mama/Shangazi Yenu;Rachel siwa[Kachiki]
Asanteni Saaaaaana.

Thursday 22 May 2014

Da'Tracey-Sarah Atimiza Miaka 13!!!!!!!




Da'Tracey-Sarah, Leo ametimiza miaka 13.Tunamtakia maisha Mema yenye Baraka,Amani,Upendo.
MUNGU azidi kumsimamia kila iitwapo Leo.
Pia tunawatakia kheri na Baraka Watoto/Watu  wote waliozaliwa siku kama ya leo.

Hongeraaa Sanaaaaaaaaa....

Wednesday 21 May 2014

Watoto Na Kujifunza;Jikoni Leo-Sabrina Kiwinga!!!!!!

Wazazi/Walezi najua wengi tulipitia michezo mbalimbali kwenye Makuzi/Utoto wetu, moja ya michezo hiyo kupikapika/Kujipikilisha, Iwe kwa Vifuu,Vikopo,Sufuria,Vyungu na...

Jee unawapa nafasi hiyo Watoto wako?

Jee michezo ipi unacheza/kuwafundisha/kuungana nao?
Kati ya hiyo ipi wanaipenda?

Sabrina[SAB] Haya mambo ya Mapishi karithi kwa Shangazi yake Rachel siwa...haahhaahahahaa


Muwe Na Wakati mwema..

Usisite kututumia picha za michezo na mengineyo yanayohusu Watoto na Malezi
Email;rasca@hotmail.co.uk.


Saturday 10 May 2014

Watoto Wetu Movie Ya Leo;Annie 1999 Full length movie,Burudani-The Cheetah Girls - Cheetah Sisters


Nimatumaini Yangu Wazazi/Walezi Na Watoto Wangu Wazuri, Wote Hamjambo..
Watoto wa hapa tulipo  UK wanaanza Mitihani ya kumaliza shule [GCSEs] Na Kujiandaa kwakuingia [SIXTH FORM]...Tusiwasahau katika Maombi/Dua/Sala.



Pia Tuungane Pamoja na Wenzetu wa NIGERIA/DUNIA Kwa Pamoja katika kuwaombea "WASICHANA" Waliotekwa.....


Pamoja na Yote,Leo Tuangalie Movie hii;Annie 1999.....


Burudani,The Cheetah Girls.......


Nawatakia kila lililo Jema,Mitihan mema,MUNGU awasimamie na Mfanye Vyema...

Ni Mimi Shangazi/Mama Yenu Rachel siwa[KACHIKI].