Wazazi/Walezi na Watoto ni wajibu wetu kutunza Mazingira...
Wapendwa/Waungwana;Wazazi/Walezi na Watoto.Nimatumaini yangu mnaendelea vyema ..Poleni sana kwa "SWAUM" wale mliofunga..Ni vyema Watoto mkasimama/kufuata vyema IMAN.
Kheri ya Kuzaliwa[HAPPY BIRTHDAY]Kwa Watoto/watu Woote Mlio/Tulio Zaliwa Mwezi huu wa NANE[AUGUST] Mimi Shangazi/Mama Yenu ni kati ya waliozaliwa mwezi huu.
Kama nawe umezaliwa mwezi huu ungependa kututumia Picha,Ujumbe na mengine mengi..usisite,Tuma kupitia Email;rasca@hotmail.co.uk.
haya leo nimewaletea MOVIE YA CINDERELLA..
Jee umeipenda na nini imekufundisha?
Basi niwatakia kila lililojema na Baraka siku zote..Pia maandalizi mema ya EID..Usikose kushiriki nasi kwa picha...
Wenu Shangazi/mama yenu.Rachel-siwa["KACHIKI"]
No comments:
Post a Comment