Friday 7 March 2014

Watoto Wetu Leo;katuni/Vibonzo kutoka-Ubongo Kids Webisode 1 -3 -Heka heka za Panya, Ndege Mjanja,Mkali wa Dana Dana!!!!!

Nimatumaini Yangu Watoto,Wazazi/Walezi wote Hamjambo.
Leo tuangalie vipindi hivi vya Ubongo Kids.
Watoto wa Nyumbani Tanzania Natumaini mnafuatilia kupitia ITV na TBC1.
Watoto wa Ng'ambo /Mlio Nje ya Tanzania niwakati Mzuri saana wa kujifunza KISWAHILI.

Basi nisiwachoshe twende Pamoja sasa.


Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.


Shukrani;Ubongo Kids na  http://www.ubongokids.com/

Jee Nini mmejifunza kupitia Video hizi?

Nawatakia Mapumziko mema ya wiki.
Wenu Shangazi/Mama Rachel siwa[KACHIKI]
.

No comments: