Ni matumaini Yangu Watoto,Wazazi/Walezi wote Hamjambo na mnaendelea vyema.
Kwa wale watoto wanaoishi Nga'mbo Mjiandae vyema na Baridi.
Na Wale Ndugu zetu Waislam tunawatakia Maandalizi mema ya Siku kuu ya Eid.
Basi Nisiwachoshe,Leo nimewaletea Katuni[CARTOON].
Tuendelee....
Mmejifunza Nini Kupitia KATUNI[CARTOON] Hii?
Ni Mimi Mama/Shangazi Yenu Rachel [KACHIKI]
3 comments:
Some: Tuache uchoyo!!!
Uchoyo hasara.....
Uchoyo hasara.....
Post a Comment