Friday, 6 December 2013

PUMZIKA KWA AMANI - NELSON MANDELA[TATA MADIMBA]

Watoto wangu wazuri natumaini wote hamajambo,Wazazi/Walezi pia.
Baba/Babu Yetu Mpendwa Mzee MADIBA, Hatunaye/Ametutoka/Amefariki.
Basi nasi tuungane pamoja katika wakati huu wa Msiba mzito Afrika na Dunia.


Jee Watoto mnamjuaje Tata MADIBA?

No comments: