Watoto wanamambo yao...Kuna wakati Wanacheza,Kuna Wakati Wanagombana,Kuna Wakati wanaoneana Huruma,Kuna Wakati Lao Moja,Kuna Wakati kila mmoja anataka Lake,Maamuzi,Yeye Zaidi.
Pia Kuna wakati Mkubwa anataka kuonyesha ukubwa wake,Kuna Wakati mdogo anaanza uchokozi na kutaka kuonewa Huruma tuu kwasababu ya udogo wake.
Wazazi/Walezi.. Na Kauli Zao;Muachie mtoto,Wewe nawe Mkubwa Mzima,Unaona ukosawa naye..huyu ni mdogo wako...Na Mengine Meeengi.Kama una la Zaidi Ongezeaa......
Jee ni Kweli Watoto waliofuatana Huwa hawapendani,Hugombana sana?
No comments:
Post a Comment