Sabrina Kiwinga ,Kutoka Amsterdam, Netherlands.Anawasalimia Watoto wote. |
Nimatumaini yangu Wazazi/Walezi na Watoto wangu wazuri wote Hamjambo na mnaendelea vyema.
Watoto wa UK..Mnajipanga kurudi Shule,Tunatarajia mfanye vyema.Watoto wa Nyumbani Tanzania/Afrika natumaini mnafanya vizuri katika masomo.
Pasaka ilikuwaje ?
Mimi na Familia Yangu,Pasaka hii haikuwa na Furaha,Tulikuwa na Wagonjwa,Msiba wa Bibi., Watoto si mnajua kuwa na bibi? Ni furaha,Kutaniana,Hadithi na Pia ni Msaidizi mkuu katika Malezi/Makuzi yangu/yetu[NAN].
Lakini yote Tunamshukuru MUNGU.
Basi nisiwachoshe,Tuungane pamoja kuangalia Movie ya Leo.
Burudani-I Believe I Can Fly...[R.Kelly]
Nawatakia mapumziko mema ya wiki.
Ni mimi Mama/Shangazi yenu;Rachel siwa[KACHIKI].
No comments:
Post a Comment