Filamu hii fupi ya kugusa moyo, inaonyesha jinsi msichana mdogo kijijini KwaZulu Natal anavyojitahidi kukabiliana na msiba na kujihisi kwake kuchanganyikiwa baada ya kufariki kwa mama yake kwa ugonjwa wa UKIMWI. Pale mvulana fulani anapomruhusu huyo msichana kuambatanisha picha ya mama yake aliyeichora kwenye kishada, kitendo hiki cha urafiki kinamfanya msichana huyo atabasamu.
Wazazi/walezi..nini Mamoni yenu?
shukrani;swahiliwood
1 comment:
Inatia huruma kwa kweli..watoto wanahitaji UPendo hasa katika kipindi kiguma kama hiki...
Post a Comment