Watoto na Vipaji Leo Tuanaye;Botlahle - Winner Of South Africa's Talent!!!
Wazazi/Walezi na Watoto..mnasenaje kuhusu huyu binti BOTLAHLE? Mmmhh..... Tunategemea siku moja tutakuwa na watoto wenye kujiamini na kufanya vyema, kuonyesha vipaji vyao mbalimbali.
.Pengine wapo mimi ndiyo sijui..Tuambizane.....
Maoni/Ushauri...Karibuni Sana
"Watoto Na Jamii"
No comments:
Post a Comment