Da'Naomi Nyembo Fundikira Atimiza Miaka 6!!!!!!
A.aleykum ndugu zangu wapendwa,Tuna kila sababu ya kumshukuru mwenyezi MUNGU subhukhanna watakhara kwa kuweza kutupa pumzi mpaka leo hii Tukishuhudia kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwanetu Naomi Nyembo Fundikira kutimiza miaka 6 : HAPPY BIRTHDAY MY LOVELY DAUGHTER NAOMI.DADDY,MOM N NADIA LOVES U.
Watoto Na Jamii;Nasi tunamtakia kila lililojema Maishani,MUNGU azidi kuwalinda kila iitwapo Leo.
Kama unalolote unapenda kushirikiana nasi,Tuma kupitia Email;rasca@hotmail.co.uk.
5 comments:
Asante maamkubwa siwa nakupenda sana mungu akubariki kwa kila jambo
Ameee..Ma'Mkubwa pensa nyie sana.Soon tutaonana.
Karibu sana sister wng nitafurahi sana kukuona
Karibu sana maamkubwa siwa nitafurahi kukuona
Asanteni sana sana..itakuwa shangwe..Summer hii.
Post a Comment