Sunday 10 March 2013

UMUHIMU WA MICHEZO NA JEE WAZAZI WATOZWE FAINI KWA KUTOPELEKA WATOTO SHULE?

Wazazi/Walezi jee unasemajeau Una maoni gani kutokana na Mada hizo/


Karibu sana!!!
Shukrani;daladalashow

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ni muhimu kwa kweli ila wazazi/walezi tunakosea sana tunafikiri pale wanapocheza ni kwamba wanapoteza muda ni afadhali asaidia kazi za nyumbani ...NI KOSA