Watoto wetu na Mavazi Yetu;How to wear a Kanga (sarong) African wrap!!!!!!!!!
Wazazi/Walezi ni vyema watoto wakajua/kuwafunza Tamaduni zetu na mambo mengi ya kwetu.
Hasa kwa wale wanaoishi Nje ya Tanzania/Afrika.Ili wasiwe wageni sana na mambo ya Nyumbani.
1 comment:
Nimependa sana jinsi utamaduni wetu unavyodumishwa safi sana...
Post a Comment