Saturday 16 March 2013

Watoto na Shengs &Kiswahili!!!!!

Wazazi/Walezi mnasemaje kuhusu hili?

maeneo yasio na tamaduni ya kuLugha ya Kiswahili ni mojawapo ya lugha iliyosifika katika afrika mashariki,lakini sasa imo hatarini kwa mwenendo wa sheng na engsh kuchipuza na kuathiri ndimi za vijana mitaani. Aidha wengi wao hubakia kufahamu Kiswahili katika ngazi ya kukiandika pekee kutokana na shinikizo darasani lakini ifikapo wakati wa mawasiliano mambo hua tofauti. Mwana habari wetu Saida Swaleh alichana mbuga na kuzungumza na vijana wanaoenzi seheng pamoja na waalimu wanaoona lugha hiyo kama changa moto katika kufunza kiswahili hasaa katika zungumza Kiswahili.



Shukrani;standardgroupkenya

No comments: