Monday 29 April 2013

Mbingu Machoni Mwake (The Sky in Her Eyes - Swahili)




Filamu hii fupi ya kugusa moyo, inaonyesha jinsi msichana mdogo kijijini KwaZulu Natal anavyojitahidi kukabiliana na msiba na kujihisi kwake kuchanganyikiwa baada ya kufariki kwa mama yake kwa ugonjwa wa UKIMWI. Pale mvulana fulani anapomruhusu huyo msichana kuambatanisha picha ya mama yake aliyeichora kwenye kishada, kitendo hiki cha urafiki kinamfanya msichana huyo atabasamu.

Wazazi/walezi..nini Mamoni yenu?

shukrani;swahiliwood

Thursday 18 April 2013

Monday 15 April 2013

Watoto na Vipaji Leo Tuanaye;Botlahle - Winner Of South Africa's Talent!!!

Wazazi/Walezi na Watoto..mnasenaje kuhusu huyu binti BOTLAHLE? Mmmhh..... Tunategemea siku moja tutakuwa na watoto wenye kujiamini na kufanya vyema, kuonyesha vipaji vyao mbalimbali. .Pengine wapo mimi ndiyo sijui..Tuambizane..... Maoni/Ushauri...Karibuni Sana "Watoto Na Jamii"