Nimatumaini Yangu Watoto,Wazazi/Walezi wote Hamjambo.
Leo tuangalie vipindi hivi vya Ubongo Kids.
Watoto wa Nyumbani Tanzania Natumaini mnafuatilia kupitia ITV na TBC1.
Watoto wa Ng'ambo /Mlio Nje ya Tanzania niwakati Mzuri saana wa kujifunza KISWAHILI.
Basi nisiwachoshe twende Pamoja sasa.

Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.
Shukrani;Ubongo Kids na http://www.ubongokids.com/
Jee Nini mmejifunza kupitia Video hizi?
Nawatakia Mapumziko mema ya wiki.
Wenu Shangazi/Mama Rachel siwa[KACHIKI].
No comments:
Post a Comment