![]() |
Watoto kipindi cha Baridi Kimeanza hapa tulipo. |
Ni matumaini Yangu Watoto.Wazazi/Walezi Mnaendelea vyema kabisa na majukumu yenu..
Hapa tulipo Baridi imeanza..Basi watoto msisahau kuvaa nguo nzito/makoti,masweta kwa kujilinda/kujikinga na baridi...
Pia shule zimefungwa kwa Wiki Moja..Basi Watoto Wangu wapendwa Muda huu muutumie Vizuri na kujifunza meengi katika Jamii yanayo wajenga zaidi.Pia Wazazi/Walezi wenzangu huu muda mzuri sana kwa kuwafundisha watoto ya kwetu..Kama kazi ndogondogo kulingana na umri wao,Nidhamu,Heshima na mengine meengi.
Watoto wa Afrika na Nchi nyingine vipi huko kwenu?
Jee Hadithi ya Leo mmejifunza nini?
Shukrani;http://hadithihadithi.podomatic.com
Ni Mimi;Mama/Shangazi Yenu,Rachel[Kachiki]
No comments:
Post a Comment