Watoto wanamambo yao...Kuna wakati Wanacheza,Kuna Wakati Wanagombana,Kuna Wakati wanaoneana Huruma,Kuna Wakati Lao Moja,Kuna Wakati kila mmoja anataka Lake,Maamuzi,Yeye Zaidi. Pia Kuna wakati Mkubwa anataka kuonyesha ukubwa wake,Kuna Wakati mdogo anaanza uchokozi na kutaka kuonewa Huruma tuu kwasababu ya udogo wake.
Wazazi/Walezi.. Na Kauli Zao;Muachie mtoto,Wewe nawe Mkubwa Mzima,Unaona ukosawa naye..huyu ni mdogo wako...Na Mengine Meeengi.Kama una la Zaidi Ongezeaa...... Jee ni Kweli Watoto waliofuatana Huwa hawapendani,Hugombana sana?
Tunakutakia Afya njema Maisha marefu katika kumbukumbu ya Siku yak ya kuzaliwa na Siku Zote Maishani mwako, Mwanetu kipenzi NADIA NYEMBO FUNDIKIRA . MWENYEEZI MUNGU akujahalie upendo kwa watu wote . Daddy,Mom n Naomi we L.V.U HAPPY BIRTHDAY NADIA......Mwaaaahhh.
Watoto Na Jamii;Tunakutakila,Kila la Heri,Baraka,Furaha,Amani na Upendo.MUNGU azidi kukubariki na kukulinda siku zote.
A.aleykum ndugu zangu wapendwa,Tuna kila sababu ya kumshukuru mwenyezi MUNGU subhukhanna watakhara kwa kuweza kutupa pumzi mpaka leo hii Tukishuhudia kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mwanetu Naomi Nyembo Fundikira kutimiza miaka 6 : HAPPY BIRTHDAY MY LOVELY DAUGHTER NAOMI.DADDY,MOM N NADIA LOVES U.
Watoto Na Jamii;Nasi tunamtakia kila lililojema Maishani,MUNGU azidi kuwalinda kila iitwapo Leo.
Kama unalolote unapenda kushirikiana nasi,Tuma kupitia Email;rasca@hotmail.co.uk.
Bwn Solomon, Sunday Shomari na Herriet Shangirai wakijadili jambo ndani ya studio za Jamii Production. Washington DC Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production. Katika kipindi hiki, tumejadili suala la BAJETI KATIKA FAMILIA. umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengine mengi. Wachangiaji studio walikuwa ni Herriet Shangirai, Sunday Shomari, Solomon na Mubelwa Bandio KARIBU UUNGANE NASI