Saturday 29 March 2014

Watoto Wetu Movie ya Leo;Ruby Bridges Full Movie A true story Penelope Ann Miller,Burudani-The Jackson 5 - ABC..!!!!!!

Studio

Wazazi/Walezi na Watoto wangu wapendwa,Natumai Hamjambo na Mnaendelea vyema.
Hapa U.K. Kesho tunasheherekea Siku ya Mama...."MOTHER'S DAY" Jee Watoto mmewaandalia nini kina MAMA/MAMA YAKO? Jee kina  MAMA Mmepokea nini kutoka kwa WATOTO?
 Hata kuonyesha Upendo,kumsaidia mama kazi,Shukrani/ Asante ni zawadi pia....

Basi nisiwachoshe tuungane pamoja katika movie .....



Jee mmejifunza nini kupitia hii movie?
Muwe na wakati mwema na maandalizi mema ya  Mother's Day.

Asanteni sana Nwapenda wote!!!


Ni mimi Mama/Shangazi yenu Rachel siwa [KACHIKI]

No comments: