Saturday 12 April 2014

Watoto Wetu Movie Ya Leo;The Sound Of Music,Burudani-Spice Girls - Mama!!!!!!!!!

Wazazi/Walezi Na Watoto wangu wazuri, Natumaini wote hamjambo na mnaendelea vyema na maandalizi ya Pasaka....Watoto wa hapa tulipo wameshaanza Likizo ya Pasaka[Easter Holiday].
Jee Watoto mmejiandaaje na Pasaka?
Jee kwenye Likizo hii nini utafanya/mtafanya kwa Familia,Ndugu,Jamaa na Marafiki?

Basi nisiwachoshe kwa maneno na tuungane pamoja kufuatilia Movie hii......



 Burudani,Spice Girls-Mama I love you......................... 


Nawatakia Likizo njema na msisahau kuwasaidia Wazazi/Walezi kazi za Nyumbani.

Wenu Shangazi/Mama Rachel siwa[KACHIKI]

No comments: