Wednesday 21 May 2014

Watoto Na Kujifunza;Jikoni Leo-Sabrina Kiwinga!!!!!!

Wazazi/Walezi najua wengi tulipitia michezo mbalimbali kwenye Makuzi/Utoto wetu, moja ya michezo hiyo kupikapika/Kujipikilisha, Iwe kwa Vifuu,Vikopo,Sufuria,Vyungu na...

Jee unawapa nafasi hiyo Watoto wako?

Jee michezo ipi unacheza/kuwafundisha/kuungana nao?
Kati ya hiyo ipi wanaipenda?

Sabrina[SAB] Haya mambo ya Mapishi karithi kwa Shangazi yake Rachel siwa...haahhaahahahaa


Muwe Na Wakati mwema..

Usisite kututumia picha za michezo na mengineyo yanayohusu Watoto na Malezi
Email;rasca@hotmail.co.uk.


No comments: