Saturday 12 July 2014

Watoto Wetu Leo;Watoto Wamejifunza nini Kupitia-Ubongo Kids ? - Sisi Watoto Part 1- 2 - Tanzanian Cartoon..!!!!!

Hamjambo Wazazi/Walezi Na Watoto wangu Wapendwa?
Leo tuangalie Watoto wamejifunza,Kufaidikaje kupitia Ubongo Kids?






Je wewe umejifunza nini kupitia Ubongo Kids?

Shukrani Sana;Ubongo Kids
 Nawatakia Mapumziko mema na Muwe Watoto Wema.
Ni mimi Shangazi/Mama yenu;Rachel siwa[Kachiki]

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

hii ni nzuri ..ila wanangu wamekuwa wakubwa ila ingekuwa siku zile walipokuwa wadogo wangependa sana hii