Saturday, 26 April 2014

Watoto Wetu;Movie ya Leo-16 Wishes Movie,Burudani-R. Kelly - I Believe I Can Fly

Sabrina Kiwinga ,Kutoka Amsterdam, Netherlands.Anawasalimia Watoto wote.

Nimatumaini yangu Wazazi/Walezi na Watoto wangu wazuri wote Hamjambo na mnaendelea vyema.

Watoto wa UK..Mnajipanga kurudi Shule,Tunatarajia mfanye vyema.Watoto wa Nyumbani Tanzania/Afrika natumaini mnafanya vizuri katika masomo.

Pasaka ilikuwaje ?
Mimi na Familia Yangu,Pasaka hii haikuwa na Furaha,Tulikuwa na Wagonjwa,Msiba wa Bibi., Watoto si mnajua kuwa na bibi? Ni furaha,Kutaniana,Hadithi na Pia ni Msaidizi mkuu katika Malezi/Makuzi yangu/yetu[NAN].
Lakini yote Tunamshukuru MUNGU.


Basi nisiwachoshe,Tuungane pamoja kuangalia Movie ya Leo.


Burudani-I Believe I Can Fly...[R.Kelly]


Nawatakia mapumziko mema ya wiki.

Ni mimi Mama/Shangazi yenu;Rachel siwa[KACHIKI].

Saturday, 12 April 2014

Watoto Wetu Movie Ya Leo;The Sound Of Music,Burudani-Spice Girls - Mama!!!!!!!!!

Wazazi/Walezi Na Watoto wangu wazuri, Natumaini wote hamjambo na mnaendelea vyema na maandalizi ya Pasaka....Watoto wa hapa tulipo wameshaanza Likizo ya Pasaka[Easter Holiday].
Jee Watoto mmejiandaaje na Pasaka?
Jee kwenye Likizo hii nini utafanya/mtafanya kwa Familia,Ndugu,Jamaa na Marafiki?

Basi nisiwachoshe kwa maneno na tuungane pamoja kufuatilia Movie hii......



 Burudani,Spice Girls-Mama I love you......................... 


Nawatakia Likizo njema na msisahau kuwasaidia Wazazi/Walezi kazi za Nyumbani.

Wenu Shangazi/Mama Rachel siwa[KACHIKI]

Saturday, 29 March 2014

Watoto Wetu Movie ya Leo;Ruby Bridges Full Movie A true story Penelope Ann Miller,Burudani-The Jackson 5 - ABC..!!!!!!

Studio

Wazazi/Walezi na Watoto wangu wapendwa,Natumai Hamjambo na Mnaendelea vyema.
Hapa U.K. Kesho tunasheherekea Siku ya Mama...."MOTHER'S DAY" Jee Watoto mmewaandalia nini kina MAMA/MAMA YAKO? Jee kina  MAMA Mmepokea nini kutoka kwa WATOTO?
 Hata kuonyesha Upendo,kumsaidia mama kazi,Shukrani/ Asante ni zawadi pia....

Basi nisiwachoshe tuungane pamoja katika movie .....



Jee mmejifunza nini kupitia hii movie?
Muwe na wakati mwema na maandalizi mema ya  Mother's Day.

Asanteni sana Nwapenda wote!!!


Ni mimi Mama/Shangazi yenu Rachel siwa [KACHIKI]

Saturday, 22 March 2014

Watoto Wetu Leo Tuangalie- Spy Next Door full movie,Burudani-Detroit Elementary School Choir Cvers Pharrell..

Ni matumaini yangu Wazazi/Walezi,Watoto Wangu wazuri hamjambo....

Leo Tuangalie Movie hii,Tuendelee

Burudani......


Ni Mimi Mama/Shangazi Yenu Rachel siwa[KACHIKI]
Asanteni sana na Muendelee na Mapumziko mema.

Saturday, 15 March 2014

Watoto Wetu Leo;Tuendelee Na Katuni/Vibonzo Kutoka Ubongo Kids Webisode 4- 6,Burudani-Brenda Fassie,Vuli Ndlela..

Nimatumaini yangu Wazazi/Walezi,Watoto wangu wazuri woote hamjambo na mnaendelea Vyema.
Leo Tuendelee na Vibonzo/Katuni Kutoka Ubongo Kids........

Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.





Brenda Fassie Tupe Burudani..........


Ni mimi Mama/Shangazi Yenu;Rachel siwa[KACHIKI]

Muwe na wakati mwema.

Friday, 7 March 2014

Watoto Wetu Leo;katuni/Vibonzo kutoka-Ubongo Kids Webisode 1 -3 -Heka heka za Panya, Ndege Mjanja,Mkali wa Dana Dana!!!!!

Nimatumaini Yangu Watoto,Wazazi/Walezi wote Hamjambo.
Leo tuangalie vipindi hivi vya Ubongo Kids.
Watoto wa Nyumbani Tanzania Natumaini mnafuatilia kupitia ITV na TBC1.
Watoto wa Ng'ambo /Mlio Nje ya Tanzania niwakati Mzuri saana wa kujifunza KISWAHILI.

Basi nisiwachoshe twende Pamoja sasa.


Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.


Shukrani;Ubongo Kids na  http://www.ubongokids.com/

Jee Nini mmejifunza kupitia Video hizi?

Nawatakia Mapumziko mema ya wiki.
Wenu Shangazi/Mama Rachel siwa[KACHIKI]
.